Sports News

Hatua ya mtoano yapamba moto: 1xBet yaangazia mechi kubwa za hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia

Hatua ya mtoano yapamba moto: 1xBet yaangazia mechi kubwa za hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia

Michuano mikubwa ya soka duniani sasa imeingia hatua ya mtoano, ambapo kila mechi ni ya lazima kushinda. Katika hatua ya 16 Bora hakuna nafasi ya kufanya makosa, kwani kosa moja linaweza kuondoa timu kwenye mashindano, huku bao moja likiwa tiketi ya kusonga mbele. Timu zitakazoweza kuvumilia presha na kutumia vizuri nafasi zao ndizo zitakazobaki kwenye mbio za ubingwa. 1xBet inaangazia mechi muhimu za hatua hii pamoja na mambo ya kutarajia.

Canada vs Morocco

Odds: W1 – 5.23 | X – 3.64 | W2 – 1.82

Morocco inaendelea kuthibitisha kuwa mafanikio yao ya Kombe la Dunia la Qatar hayakuwa ya bahati. Katika michuano ya mwaka 2026, Atlas Lions walimaliza hatua ya makundi bila kupoteza mechi na baadaye wakaiondoa Uholanzi kwa mikwaju ya penalti kwenye hatua ya 32 Bora.

Kwa upande wa Canada, hii ni mara ya kwanza kufika hatua ya mtoano katika historia yao. Timu hiyo imeonyesha maendeleo makubwa kadri mashindano yalivyoendelea na sasa inakutana na moja ya timu imara zaidi kwenye michuano.

Mara ya mwisho timu hizi zilipokutana kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar, Morocco iliibuka na ushindi wa mabao 2-1. Je, Morocco itaendelea kutamba au Canada itafanya maajabu?

Portugal vs Spain

Odds: W1 – 4.11 | X – 3.67 | W2 – 2.00

Mechi kati ya Portugal na Spain inatarajiwa kuwa miongoni mwa mechi bora zaidi za hatua hii. Timu zote mbili zinajulikana kwa kumiliki mpira vizuri, kutumia pembeni mwa uwanja kwa ufanisi na kushambulia kwa kasi.

Portugal hutegemea ubunifu wa viungo wake pamoja na washambuliaji wenye kasi, huku Spain ikiendelea na mfumo wake wa pasi nyingi, umiliki wa mpira na kuwabana wapinzani muda wote.

Macho mengi yataelekezwa kwenye pambano kati ya mkongwe Cristiano Ronaldo na nyota chipukizi Lamine Yamal. Huu unaweza kuwa mmoja wa mvuto mkubwa wa mechi hiyo.

Marekani vs Ubelgiji

Odds: W1 – 2.73 | X – 3.49 | W2 – 2.75

Marekani imeonyesha soka la kuvutia la kushambulia na imefuzu hatua ya 16 Bora kwa mara ya nne mfululizo. Hata hivyo, katika mara tatu zilizopita walishindwa kusonga mbele, hivyo safari hii wana nafasi ya kuandika historia mpya.

Ubelgiji nayo inaingia kwenye mechi hii ikiwa na hamasa kubwa, huku baadhi ya wachezaji wa kizazi chao maarufu wakielekea mwisho wa taaluma zao. Mashindano haya yanaweza kuwa nafasi yao ya mwisho kutwaa mafanikio makubwa kimataifa.

Mwaka 2014, Ubelgiji iliiondoa Marekani kwa ushindi wa mabao 2-1 baada ya muda wa nyongeza. Je, safari hii Marekani italipiza kisasi au uzoefu wa Ubelgiji utaamua matokeo?

Brazil vs Norway

Odds: W1 – 1.91 | X – 3.80 | W2 – 4.37

Norway imerejea kwenye Kombe la Dunia baada ya miaka 28 na tayari imeonyesha kiwango bora. Kikosi hicho kina safu kali ya ushambuliaji, huku Erling Haaland akiwa miongoni mwa wafungaji bora wa mashindano akiwa na mabao matano.

Brazil, kama ilivyozoeleka, ni moja ya timu zinazopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa. Wana uwezo mkubwa wa kushambulia kwa mipango pamoja na kufanya mashambulizi ya kushtukiza. Hata hivyo, Norway inaweza kuwasumbua kupitia Haaland, huku Brazil ikitafuta kutumia udhaifu wa safu ya ulinzi ya wapinzani wao.

Mexico vs England

Odds: W1 – 3.21 | X – 3.25 | W2 – 2.52

Mexico imekuwa na mwanzo mzuri wa mashindano ikiwa nyumbani, ikishinda mechi zote nne bila kuruhusu bao lolote. Lakini hatua ya 16 Bora inaleta mtihani mkubwa zaidi dhidi ya England.

England tayari imeonyesha uwezo wa kushinda mechi ngumu na kulinda matokeo inapokuwa chini ya presha. Mexico itategemea uimara wa safu yake ya ulinzi pamoja na sapoti ya mashabiki wa nyumbani, huku England ikitegemea ubora wa washambuliaji wake, nguvu za mwili na uzoefu wa viongozi wake.

Hatua ya maamuzi

Baada ya kumalizika kwa hatua ya makundi na raundi za awali za mtoano, zimebaki timu ambazo zimethibitisha uwezo wao uwanjani. Katika hatua hii, kila bao, kila mabadiliko ya mchezaji na kila maamuzi ya kocha vinaweza kubadilisha matokeo ya mchezo na kuamua nani atasonga mbele.

Kadri mashindano yanavyoendelea, 1xBet inaongeza msisimko kupitia promosheni ya WORLD WIN 26. Kuanzia Juni 2 hadi Julai 20, wateja wanaoweka fedha na kubashiri mechi za mashindano kuanzia dola 2 za Marekani hupata tiketi za promosheni pamoja na 1xCoin. Pointi hizo zinaweza kutumika kufungua zawadi mbalimbali ikiwemo Freebet, fedha taslimu na vifaa vya kisasa.

Endelea kuzipa sapoti timu unazozipenda na fuatilia maendeleo ya mashindano kupitia 1xBet.

Fanya ubashiri sasa Kupitia 1xbet bonyeza kiungo hiki hapa chini

http://37.220.10.237/Kpz6SWwm